naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 8

Andika aina moja ya wanyama wa porini

From Kiswahili — Term 2 Opener Exam 2025 (SET 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu

Soma ufahamu kisha ujibu maswali.
Wanyama ni wazuri. Kuna aina mbili za wanyama. Kuna wanyama wa nyumbani na wanyama wa porini. Wanyama wa nyumbani ni kama vile mbuzi, ng'ombe na kondoo. Wanyama wa porini ni kama vile ndovu, twiga na simba. Wanyama wa nyumbani ni wapole. Wanyama wa porini ni wakali.

2. Andika aina moja ya wanyama wa porini

Answer

simba

Wanyama wa porini ni ndovu, twiga na simba.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test