CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 7
Kuna aina ngapi za wanyama?
From Kiswahili — Term 2 Opener Exam 2025 (SET 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma ufahamu kisha ujibu maswali.
Wanyama ni wazuri. Kuna aina mbili za wanyama. Kuna wanyama wa nyumbani na wanyama wa porini. Wanyama wa nyumbani ni kama vile mbuzi, ng'ombe na kondoo. Wanyama wa porini ni kama vile ndovu, twiga na simba. Wanyama wa nyumbani ni wapole. Wanyama wa porini ni wakali.
1. Kuna aina ngapi za wanyama?
Answer
mbili
"Kuna aina mbili za wanyama."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.