CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 30
Walimu ___ ni wazuri.
From Kiswahili — Term 2 Opener Exam 2025 (SET 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Matumizi ya Huyu na Hawa
7. Tumia 'huyu' au 'hawa' kujaza pengo
Walimu ____ ni wazuri.
- Ahuyu
- Bhawa
Answer
B. hawa
Walimu ni wengi: hawa.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Tazama picha kisha uandike sentensi tano kuhusu ndege huyu.Question 31
- Juma ako katika gredi ya ngapi?Question 1
- Mwili uko na sehemu ngapi?Question 2
- Taja sehemu moja ya mwili ambayo Juma ametaja.Question 3
- Je, miguu inatumika kufanya nini?Question 4
- Taja sehemu nyingine ya mwili ambayo Juma hajaitaja.Question 5