CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 38
Neno huwa katika sentensi: Wanafunzi huwa wanacheza hapa kila jioni, ni kitenzi kishirikishi. Chagua sentensi nyingine yenye kitenzi kishirikishi.
From Test 82 — Kiswahili Paper 1 Opener Term 3 · 1 mark · Topic: Sarufi Na Lugha
38. Neno huwa katika sentensi: Wanafunzi huwa wanacheza hapa kila jioni, ni kitenzi kishirikishi. Chagua sentensi nyingine yenye kitenzi kishirikishi.
- AA. Kiti hiki kimevunjika.
- BB. Wageni walikuja jana.
- CC. Vitabu vimekuwa vikisomwa.
- DD. Yeye ni daktari hodari.
Answer
D. D. Yeye ni daktari hodari.
Jibu sahihi: D. Yeye ni daktari hodari..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Nomino, kiatu iko katika ngeli ya KI-VI. Nomino, ufagio iko katika ngeli gani?Question 39
- Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano. kubwa | dogo nyeupe | ___Question 40
- Ukanusho wa sentensi, Amelewa pombe nyingi ni:Question 41
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Mti ___meanguka barabarani.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Mama alimwambia Juma kuwa amesahau pochi yake nyumbani.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 44