CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 37
Ni sentensi gani iliyo katika hali ya wakati ujao?
From Test 82 — Kiswahili Paper 1 Opener Term 3 · 1 mark · Topic: Sarufi Na Lugha
37. Ni sentensi gani iliyo katika hali ya wakati ujao?
- AA. Watoto walicheza uwanjani jana.
- BB. Mwalimu atafundisha somo hili kesho.
- CC. Chakula kinapikwa jikoni sasa.
- DD. Mama amesafiri kwenda Mombasa.
Answer
B. B. Mwalimu atafundisha somo hili kesho.
Jibu sahihi: B. Mwalimu atafundisha somo hili kesho..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Neno huwa katika sentensi: Wanafunzi huwa wanacheza hapa kila jioni, ni kitenzi kishirikishi. Chagua sentensi nyingine…Question 38
- Nomino, kiatu iko katika ngeli ya KI-VI. Nomino, ufagio iko katika ngeli gani?Question 39
- Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano. kubwa | dogo nyeupe | ___Question 40
- Ukanusho wa sentensi, Amelewa pombe nyingi ni:Question 41
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Mti ___meanguka barabarani.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Mama alimwambia Juma kuwa amesahau pochi yake nyumbani.Question 43