CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 36
Neno, amani katika sentensi, Amani imetawala nchini Kenya, ni nomino dhahania. Chagua jibu linaloonyesha aina za nomino zilizopigiwa mstari katika sentensi…
From Test 82 — Kiswahili Paper 1 Opener Term 3 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
36. Neno, amani katika sentensi, Amani imetawala nchini Kenya, ni nomino dhahania. Chagua jibu linaloonyesha aina za nomino zilizopigiwa mstari katika sentensi ifuatayo:
Watoto walicheza soka uwanjani.
(Watoto na soka zimepigiwa mstari.)
- AA. kawaida, pekee
- BB. dhahania, makundi
- CC. wingi, kawaida
- DD. pekee, wingi
Answer
A. A. kawaida, pekee
Jibu sahihi: A. kawaida, pekee.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi gani iliyo katika hali ya wakati ujao?Question 37
- Neno huwa katika sentensi: Wanafunzi huwa wanacheza hapa kila jioni, ni kitenzi kishirikishi. Chagua sentensi nyingine…Question 38
- Nomino, kiatu iko katika ngeli ya KI-VI. Nomino, ufagio iko katika ngeli gani?Question 39
- Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano. kubwa | dogo nyeupe | ___Question 40
- Ukanusho wa sentensi, Amelewa pombe nyingi ni:Question 41
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Mti ___meanguka barabarani.Question 42