CBC Grade 8 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 23
L. Andika upya sentensi kwa kutumia ‘O’ rejeshi tamati. Gari lililoanguka si lile unalolizungumzia.
From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, O-rejeshi
L. Andika upya sentensi kwa kutumia ‘O’ rejeshi tamati.
Gari lililoanguka si lile unalolizungumzia.
Answer
Gari liangukalo si lile ulizungumzialo.
O-rejeshi tamati hukaa mwishoni mwa kitenzi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- M. Unda nomino kutokana na kivumishi kifuatacho: TepetevuQuestion 24
- N. Ainisha vihusishi vilivyopigiwa mstari. Atieno ndiye mtoto wa mwisho [wa] Ojwang lakini ni mwerevu [kuliko]…Question 25
- O. Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo. Nimewaleta askari kituoni ili wawalinde wananchi wote wanaosumbuliwa…Question 26
- P. Andika sentensi hii katika hali ya ukubwa wingi. Ng’ombe mnono atachinjiwa wachezaji.Question 27
- Q. Taja uamilifu wa maneno yaliyopigiwa mstari. i) [Hapa] ni pangu. (Neno katika mabano ndilo lililopigiwa mstari.)Question 28
- ii) [Haraka] yako itakuponza.Question 29