CBC Grade 8 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 27
P. Andika sentensi hii katika hali ya ukubwa wingi. Ng’ombe mnono atachinjiwa wachezaji.
From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukubwa
P. Andika sentensi hii katika hali ya ukubwa wingi.
Ng’ombe mnono atachinjiwa wachezaji.
Answer
Magombe manono yatachinjiwa majichezaji.
Ukubwa wingi huchukua ma-.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Q. Taja uamilifu wa maneno yaliyopigiwa mstari. i) [Hapa] ni pangu. (Neno katika mabano ndilo lililopigiwa mstari.)Question 28
- ii) [Haraka] yako itakuponza.Question 29
- R) Andika neno lenye muundo huu. KKKKIQuestion 30
- ISIMU JAMII i. Eleza maana ya lugha (alama 2)Question 31
- ii. Eleza mambo manne yanayopeleka kufifia / kufa kwa lugha. (alama 8)Question 32
- KUANDIKA INSHA Andika insha itakayomalizia kwa maneno haya: ………………….bila shaka hapo ndipo nilipokiri ukweli wa methali…Question 33