naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 32

ii. Eleza mambo manne yanayopeleka kufifia / kufa kwa lugha. (alama 8)

From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 8 marks · Topic: Isimu Jamii, Kufa kwa Lugha

ii. Eleza mambo manne yanayopeleka kufifia / kufa kwa lugha. (alama 8)

Answer

Idadi ndogo ya wazungumzaji; ndoa za mseto ambapo watoto hufuata lugha ya mzazi mmoja; kuhama kwa wazungumzaji na kuchukua lugha mpya; ukosefu wa hadhi na kutoungwa mkono na serikali, elimu na vyombo vya habari.

Kila jambo lielezwe.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test