CBC Grade 8 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 28
Q. Taja uamilifu wa maneno yaliyopigiwa mstari. i) [Hapa] ni pangu. (Neno katika mabano ndilo lililopigiwa mstari.)
From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Q. Taja uamilifu wa maneno yaliyopigiwa mstari.
i) [Hapa] ni pangu.
(Neno katika mabano ndilo lililopigiwa mstari.)
Answer
Kiwakilishi (cha mahali / kionyeshi)
Linasimama badala ya nomino ya mahali.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- ii) [Haraka] yako itakuponza.Question 29
- R) Andika neno lenye muundo huu. KKKKIQuestion 30
- ISIMU JAMII i. Eleza maana ya lugha (alama 2)Question 31
- ii. Eleza mambo manne yanayopeleka kufifia / kufa kwa lugha. (alama 8)Question 32
- KUANDIKA INSHA Andika insha itakayomalizia kwa maneno haya: ………………….bila shaka hapo ndipo nilipokiri ukweli wa methali…Question 33
- UFAHAMU a. Ipe taarifa hii anwani mwafaka. (alama 1)Question 1