CBC Grade 8 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 26
O. Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo. Nimewaleta askari kituoni ili wawalinde wananchi wote wanaosumbuliwa na majambazi. Anza: Wananchi…
From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 3 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Uandishi wa Sentensi
O. Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo.
Nimewaleta askari kituoni ili wawalinde wananchi wote wanaosumbuliwa na majambazi.
Anza: Wananchi…
Answer
Wananchi wote wanaosumbuliwa na majambazi wameletewa askari kituoni ili walindwe.
Wananchi wanakuwa kiima.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- P. Andika sentensi hii katika hali ya ukubwa wingi. Ng’ombe mnono atachinjiwa wachezaji.Question 27
- Q. Taja uamilifu wa maneno yaliyopigiwa mstari. i) [Hapa] ni pangu. (Neno katika mabano ndilo lililopigiwa mstari.)Question 28
- ii) [Haraka] yako itakuponza.Question 29
- R) Andika neno lenye muundo huu. KKKKIQuestion 30
- ISIMU JAMII i. Eleza maana ya lugha (alama 2)Question 31
- ii. Eleza mambo manne yanayopeleka kufifia / kufa kwa lugha. (alama 8)Question 32