naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 25

N. Ainisha vihusishi vilivyopigiwa mstari. Atieno ndiye mtoto wa mwisho [wa] Ojwang lakini ni mwerevu [kuliko] wengine. (Maneno katika mabano ndiyo…

From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vihusishi

N. Ainisha vihusishi vilivyopigiwa mstari.
Atieno ndiye mtoto wa mwisho [wa] Ojwang lakini ni mwerevu [kuliko] wengine.
(Maneno katika mabano ndiyo yaliyopigiwa mstari.)

Answer

wa – kihusishi cha kumiliki (a-unganifu); kuliko – kihusishi cha kulinganisha.

Uhusiano unaoonyeshwa.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test