CBC Grade 8 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 22
K. Tunga sentensi sahihi ukitumia vitenzi vifuatavyo katika hali ya kufanyiza. i) -La ii) -Nywa iii) -Fa
From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 3 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
K. Tunga sentensi sahihi ukitumia vitenzi vifuatavyo katika hali ya kufanyiza.
i) -La
ii) -Nywa
iii) -Fa
Answer
Mama alimlisha mtoto uji. Mchungaji aliwanywesha ng'ombe maji. Sumu ile iliwafisha panya wote.
La → lisha; nywa → nywesha; fa → fisha.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- L. Andika upya sentensi kwa kutumia ‘O’ rejeshi tamati. Gari lililoanguka si lile unalolizungumzia.Question 23
- M. Unda nomino kutokana na kivumishi kifuatacho: TepetevuQuestion 24
- N. Ainisha vihusishi vilivyopigiwa mstari. Atieno ndiye mtoto wa mwisho [wa] Ojwang lakini ni mwerevu [kuliko]…Question 25
- O. Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo. Nimewaleta askari kituoni ili wawalinde wananchi wote wanaosumbuliwa…Question 26
- P. Andika sentensi hii katika hali ya ukubwa wingi. Ng’ombe mnono atachinjiwa wachezaji.Question 27
- Q. Taja uamilifu wa maneno yaliyopigiwa mstari. i) [Hapa] ni pangu. (Neno katika mabano ndilo lililopigiwa mstari.)Question 28