CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 34
Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano.
From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Visawe na Vinyume
| ndefu | fupi |
| pana | __________ |
34. Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano.
- Anyembamba
- Bkubwa
- Crefu
- Ddogo
Answer
A. nyembamba
Mfano unaonyesha kinyume: ndefu ni kinyume cha fupi. Kinyume cha pana ni nyembamba.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Ukanusho wa sentensi, Wazazi wamefika nyumbani ni:Question 35
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Macho ___ yanaona vizuri.Question 36
- Chagua usemi wa taarifa wa: Baba aliwaambia watoto wake, "Msome kwa bidii ili mfaulu."Question 37
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha kuonyesha. Utachagua sentensi ipi?Question 38
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 39
- Sentensi, Mama alinunulia mtoto wake maziwa, inamaanisha Mama alinunua maziwa kwa ajili ya mtoto wake. Chagua jibu…Question 40