CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 38
Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha kuonyesha. Utachagua sentensi ipi?
From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Vivumishi
38. Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha kuonyesha. Utachagua sentensi ipi?
- AKazi hii ni ngumu.
- BWatoto watatu wamefika.
- CMtu mzuri hupendwa.
- DViatu vyote vimeibiwa.
Answer
A. Kazi hii ni ngumu.
"Hii" inaonyesha kazi iliyo karibu: ni kivumishi cha kuonyesha. Watatu ni cha idadi, mzuri ni cha sifa na vyote ni cha pekee.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 39
- Sentensi, Mama alinunulia mtoto wake maziwa, inamaanisha Mama alinunua maziwa kwa ajili ya mtoto wake. Chagua jibu…Question 40
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia uhuishaji.Question 41
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: legevu, tele.Question 42
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya umoja?Question 43
- Mwenzako anakataa kufanya kazi kwa bidii akiamini atasaidiwa na wengine. Chagua methali utakayomwonya.Question 44