CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 40
Sentensi, Mama alinunulia mtoto wake maziwa, inamaanisha Mama alinunua maziwa kwa ajili ya mtoto wake. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi hiyo.
From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
40. Sentensi, Mama alinunulia mtoto wake maziwa, inamaanisha Mama alinunua maziwa kwa ajili ya mtoto wake. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi hiyo.
- AMama alinunua maziwa kutoka kwa mtoto wake.
- BMama alinunua maziwa kwa kuelekezwa na mtoto wake.
- CMama alinunua maziwa baada ya mtoto wake.
- DMama alinunua maziwa karibu na mtoto wake.
Answer
A. Mama alinunua maziwa kutoka kwa mtoto wake.
Kauli ya kutendea (nunua → nunulia) ina maana ya kwa ajili ya mtu, lakini pia inaweza kumaanisha kununua kutoka kwa mtu: Mama alinunua maziwa kutoka kwa mtoto wake.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia uhuishaji.Question 41
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: legevu, tele.Question 42
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya umoja?Question 43
- Mwenzako anakataa kufanya kazi kwa bidii akiamini atasaidiwa na wengine. Chagua methali utakayomwonya.Question 44
- Kamilisha sentensi ifuatayo kwa kutumia kiwakilishi sahihi cha a-unganifu: Macho __ yaona mbali.Question 45
- Chagua jibu lenye neno ambalo si kitenzi.Question 46