CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 44
Mwenzako anakataa kufanya kazi kwa bidii akiamini atasaidiwa na wengine. Chagua methali utakayomwonya.
From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
44. Mwenzako anakataa kufanya kazi kwa bidii akiamini atasaidiwa na wengine. Chagua methali utakayomwonya.
- AJembe halimtupi mkulima.
- BMchelea mwana kulia hulia mwenyewe.
- CBaada ya dhiki faraja.
- DKila mlango na ufunguo wake.
Answer
A. Jembe halimtupi mkulima.
"Jembe halimtupi mkulima" inafundisha kuwa anayefanya kazi kwa bidii hupata matunda ya kazi yake, hivyo mwenzako ajitahidi mwenyewe badala ya kutegemea wengine. "Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe" inahusu malezi ya mtoto.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha sentensi ifuatayo kwa kutumia kiwakilishi sahihi cha a-unganifu: Macho __ yaona mbali.Question 45
- Chagua jibu lenye neno ambalo si kitenzi.Question 46
- Sentensi ipi imetumia kiambishi cha wakati uliopita?Question 47
- Neno polepole ni kielezi. Chagua sentensi yenye kivumishi.Question 48
- Chagua jibu lenye orodha ya vitu ambavyo vyote viko katika ngeli ya KI-VI.Question 49
- Kamilisha methali ifuatayo: Haraka haraka...Question 50