CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 50
Kamilisha methali ifuatayo: Haraka haraka...
From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
50. Kamilisha methali ifuatayo: Haraka haraka...
- Ahaina baraka.
- Bhujaza matumbo.
- Cni nzuri.
- Dhuleta mafanikio.
Answer
A. haina baraka.
Methali kamili ni "Haraka haraka haina baraka": kufanya mambo kwa pupa huleta matokeo mabaya.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na kifungu, ni kipi kati ya vifuatavyo sio kitu ambacho mtu hupata kupitia elimu?Question 1
- Elimu inafungua milango ya fursa kwa sababu gani?Question 2
- Elimu huleta mabadiliko chanya katika jamii kwa kuwa watu walioelimika:Question 3
- Watoto wa kike wanapoelimishwa, jamii nzima hunufaika kwa sababu gani hasa?Question 4
- Ni kipi kati ya vifuatavyo sio sababu iliyotajwa inayozuia watoto kupata elimu bora?Question 5
- Kifungu kinasisitiza kuwa ni jukumu la nani kuhakikisha kila mtoto anapata haki yake ya elimu?Question 6