CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 49
Chagua jibu lenye orodha ya vitu ambavyo vyote viko katika ngeli ya KI-VI.
From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
49. Chagua jibu lenye orodha ya vitu ambavyo vyote viko katika ngeli ya KI-VI.
- AKikombe, Kiatu, kisu
- BKivuli, redio, yai
- CKisu, sura, urembo
- Dtaifa, leso, kitabu
Answer
A. Kikombe, Kiatu, kisu
Kikombe/vikombe, kiatu/viatu na kisu/visu vyote viko katika ngeli ya KI-VI. Redio, yai, sura, urembo, taifa na leso haziko katika ngeli hiyo.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha methali ifuatayo: Haraka haraka...Question 50
- Kulingana na kifungu, ni kipi kati ya vifuatavyo sio kitu ambacho mtu hupata kupitia elimu?Question 1
- Elimu inafungua milango ya fursa kwa sababu gani?Question 2
- Elimu huleta mabadiliko chanya katika jamii kwa kuwa watu walioelimika:Question 3
- Watoto wa kike wanapoelimishwa, jamii nzima hunufaika kwa sababu gani hasa?Question 4
- Ni kipi kati ya vifuatavyo sio sababu iliyotajwa inayozuia watoto kupata elimu bora?Question 5