naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 35

Ukanusho wa sentensi, Wazazi wamefika nyumbani ni:

From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanusho

35. Ukanusho wa sentensi, Wazazi wamefika nyumbani ni:

  1. AWazazi hawatafika nyumbani.
  2. BWazazi hawakufika nyumbani.
  3. CWazazi hawangefika nyumbani.
  4. DWazazi hawajafika nyumbani.

Answer

D. Wazazi hawajafika nyumbani.

Wakati uliopita hivi karibuni -me- hukanushwa kwa -ja-: wamefika → hawajafika.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test