CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 36
Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Macho ___ yanaona vizuri.
From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Upatanisho wa Kisarufi
36. Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Macho ___ yanaona vizuri.
- Ali
- Bya
- Cza
- Di
Answer
B. ya
Macho ni wingi katika ngeli ya LI-YA (jicho/macho), kwa hiyo hupatana na kiambishi "ya", kama katika "yanaona".
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua usemi wa taarifa wa: Baba aliwaambia watoto wake, "Msome kwa bidii ili mfaulu."Question 37
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha kuonyesha. Utachagua sentensi ipi?Question 38
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 39
- Sentensi, Mama alinunulia mtoto wake maziwa, inamaanisha Mama alinunua maziwa kwa ajili ya mtoto wake. Chagua jibu…Question 40
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia uhuishaji.Question 41
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: legevu, tele.Question 42