naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 33

Nomino, mti iko katika ngeli ya M-MI. Nomino ua iko katika ngeli gani?

From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino

33. Nomino, mti iko katika ngeli ya M-MI. Nomino ua iko katika ngeli gani?

  1. AU-YA
  2. BU-I
  3. CI-ZI
  4. DLI-YA

Answer

A. U-YA

Ua huanza kwa u- katika umoja na kuwa maua (ma-) katika wingi, sawa na ugonjwa/magonjwa: ngeli ya U-YA. Kwa upatanisho wa kisarufi (ua limechanua, maua yamechanua) huwekwa pia katika ngeli ya LI-YA.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test