CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 32
Ni sentensi gani iliyo katika hali ya wakati ujao?
From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
32. Ni sentensi gani iliyo katika hali ya wakati ujao?
- AWatoto wanacheza nje sasa.
- BYeye alienda sokoni jana.
- CMimi nitasafiri kesho.
- DSisi tumekula chakula chote.
Answer
C. Mimi nitasafiri kesho.
Kiambishi -ta- katika "nitasafiri" ni cha wakati ujao.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Nomino, mti iko katika ngeli ya M-MI. Nomino ua iko katika ngeli gani?Question 33
- Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano.Question 34
- Ukanusho wa sentensi, Wazazi wamefika nyumbani ni:Question 35
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Macho ___ yanaona vizuri.Question 36
- Chagua usemi wa taarifa wa: Baba aliwaambia watoto wake, "Msome kwa bidii ili mfaulu."Question 37
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha kuonyesha. Utachagua sentensi ipi?Question 38