CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 3
b) Eleza sifa mbili za wimbo huu. (Alama 2)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 2 marks · Topic: Fasihi, Sifa za Bembelezi
ZOEZI LA 2: FASIHI SIMULIZI (Alama 10)
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.
Yaya mwanangu yayaya
Usilie mwanangu yayaya
Nakupenda mwanangu yayaya
Yaya mwanangu yayaya
Yaya mwanangu yayaya
Nyamaza mwanangu yayaya
Babako anakuja yayaya
Akuletee matunda yayaya
Yaya mwanangu yayaya
Nitakupa maziwa yayaya
Na asali mwanangu yayaya
Yaya mwanangu yayaya
b) Eleza sifa mbili za wimbo huu. (Alama 2)
Answer
Una lugha ya kujirudiarudia ("yayaya", "mwanangu"), na lugha yake ni nyepesi na ya upole.
Sifa za bembelezi huonekana katika lugha na sauti yake.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- c) Ni ahadi zipi zinatolewa katika wimbo huu? (Alama 3)Question 4
- d) Taja wahusika wawili wakuu katika wimbo huu (Alama 2)Question 5
- e) Wimbo huu unaimbwa na nani? (Alama 1)Question 6
- Maswali a) Matukio katika dondoo hili yanatendeka wakati gani? (Alama 1)Question 7
- b) Tajaa wahusika wawili katika dondoo hili. (Alama 2)Question 8
- c) Taja aina mbili za madhari zilizojitokeza katika dondoo hili. (Alama 2)Question 9