CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9
c) Taja aina mbili za madhari zilizojitokeza katika dondoo hili. (Alama 2)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 2 marks · Topic: Fasihi, Mandhari
ZOEZI LA 3: NOVELA (Alama 15)
Soma dondoo ifuatayo kisha ujibu maswali.
"Asha alitembea kwa haraka kupitia vichorochoro vya kijiji, moyo wake ukidunda kwa wasiwasi. Alikuwa amechelewa kurudi nyumbani baada ya mkutano wa vijana. Akipita karibu na soko lililokuwa tupu, aliona kivuli kikubwa kikisongea polepole. Alihisi hofu, lakini ghafla akatambua ni mama yake aliyemsubiri. Mama hakusema neno alimkumbatia tu kwa upendo. Asha alielewa kuwa hakuwa peke yake kamwe."
c) Taja aina mbili za madhari zilizojitokeza katika dondoo hili. (Alama 2)
Answer
i) Vichorochoro vya kijiji ii) Soko lililokuwa tupu
Madhari ni mahali matukio yanapotendeka.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- d) Eleza uhusiano kati ya Asha na mama yake kama unavyoonekana. (Alama 2)Question 10
- e) Taja changamoto mbili alizokumbana nazo Asha. (Alama 2)Question 11
- f) Kwa maoni yako, ni funzo gani kijana yeyote anaweza kujifunza kutokana na dondoo hili. (Alama 1)Question 12
- Maswali a) Shairi hili lina beti ngapi? (Alama 1)Question 13
- b) Shairi hili ni la aina gani? (Alama 1)Question 14
- c) Andika kibwagizo cha shairi hili. (Alama 1)Question 15