naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 2

Maswali a) Wimbo huu ni aina gani? (Alama 2)

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 2 marks · Topic: Fasihi, Tanzu

ZOEZI LA 2: FASIHI SIMULIZI (Alama 10)
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.

Yaya mwanangu yayaya
Usilie mwanangu yayaya
Nakupenda mwanangu yayaya
Yaya mwanangu yayaya

Yaya mwanangu yayaya
Nyamaza mwanangu yayaya
Babako anakuja yayaya
Akuletee matunda yayaya

Yaya mwanangu yayaya
Nitakupa maziwa yayaya
Na asali mwanangu yayaya
Yaya mwanangu yayaya

Maswali
a) Wimbo huu ni aina gani? (Alama 2)

Answer

Ni bembelezi (wimbo wa kubembeleza mtoto): mama anamtuliza mtoto asilie.

Angalia anayeimbiwa na lengo la wimbo.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test