CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 6
e) Wimbo huu unaimbwa na nani? (Alama 1)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Fasihi, Fanani
ZOEZI LA 2: FASIHI SIMULIZI (Alama 10)
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.
Yaya mwanangu yayaya
Usilie mwanangu yayaya
Nakupenda mwanangu yayaya
Yaya mwanangu yayaya
Yaya mwanangu yayaya
Nyamaza mwanangu yayaya
Babako anakuja yayaya
Akuletee matunda yayaya
Yaya mwanangu yayaya
Nitakupa maziwa yayaya
Na asali mwanangu yayaya
Yaya mwanangu yayaya
e) Wimbo huu unaimbwa na nani? (Alama 1)
Answer
Mama wa mtoto (au mlezi / yaya).
"Mwanangu" inaonyesha anayeimba.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Maswali a) Matukio katika dondoo hili yanatendeka wakati gani? (Alama 1)Question 7
- b) Tajaa wahusika wawili katika dondoo hili. (Alama 2)Question 8
- c) Taja aina mbili za madhari zilizojitokeza katika dondoo hili. (Alama 2)Question 9
- d) Eleza uhusiano kati ya Asha na mama yake kama unavyoonekana. (Alama 2)Question 10
- e) Taja changamoto mbili alizokumbana nazo Asha. (Alama 2)Question 11
- f) Kwa maoni yako, ni funzo gani kijana yeyote anaweza kujifunza kutokana na dondoo hili. (Alama 1)Question 12