CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 7
Maswali a) Matukio katika dondoo hili yanatendeka wakati gani? (Alama 1)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Fasihi, Mandhari
ZOEZI LA 3: NOVELA (Alama 15)
Soma dondoo ifuatayo kisha ujibu maswali.
"Asha alitembea kwa haraka kupitia vichorochoro vya kijiji, moyo wake ukidunda kwa wasiwasi. Alikuwa amechelewa kurudi nyumbani baada ya mkutano wa vijana. Akipita karibu na soko lililokuwa tupu, aliona kivuli kikubwa kikisongea polepole. Alihisi hofu, lakini ghafla akatambua ni mama yake aliyemsubiri. Mama hakusema neno alimkumbatia tu kwa upendo. Asha alielewa kuwa hakuwa peke yake kamwe."
Maswali
a) Matukio katika dondoo hili yanatendeka wakati gani? (Alama 1)
Answer
Usiku (Asha alikuwa amechelewa kurudi nyumbani na soko lilikuwa tupu).
Asha alichelewa kurudi na soko lilikuwa tupu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- b) Tajaa wahusika wawili katika dondoo hili. (Alama 2)Question 8
- c) Taja aina mbili za madhari zilizojitokeza katika dondoo hili. (Alama 2)Question 9
- d) Eleza uhusiano kati ya Asha na mama yake kama unavyoonekana. (Alama 2)Question 10
- e) Taja changamoto mbili alizokumbana nazo Asha. (Alama 2)Question 11
- f) Kwa maoni yako, ni funzo gani kijana yeyote anaweza kujifunza kutokana na dondoo hili. (Alama 1)Question 12
- Maswali a) Shairi hili lina beti ngapi? (Alama 1)Question 13