naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 5

d) Taja wahusika wawili wakuu katika wimbo huu (Alama 2)

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 2 marks · Topic: Fasihi, Wahusika

ZOEZI LA 2: FASIHI SIMULIZI (Alama 10)
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.

Yaya mwanangu yayaya
Usilie mwanangu yayaya
Nakupenda mwanangu yayaya
Yaya mwanangu yayaya

Yaya mwanangu yayaya
Nyamaza mwanangu yayaya
Babako anakuja yayaya
Akuletee matunda yayaya

Yaya mwanangu yayaya
Nitakupa maziwa yayaya
Na asali mwanangu yayaya
Yaya mwanangu yayaya

d) Taja wahusika wawili wakuu katika wimbo huu (Alama 2)

Answer

Mama (mwimbaji) na mtoto (mwanangu).

Ni nani anayeimba na nani anayeimbiwa?

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test