CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 34
Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano. dogo — kubwa refu — ___
From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kinyume
34. Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano.
dogo — kubwa
refu — ____
- Afupi
- Bpana
- Czito
- Ddogo
Answer
A. fupi
Jedwali linaonyesha vinyume: kinyume cha dogo ni kubwa, na kinyume cha refu ni fupi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ukanusho wa sentensi, Wanafunzi wataenda maktaba ni:Question 35
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Mti mdogo ___meanguka.Question 36
- Chagua usemi wa taarifa wa: Mwalimu aliwauliza wanafunzi, "Je, mmemaliza kazi zenu?"Question 37
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha idadi ya kawaida. Utachagua sentensi ipi?Question 38
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 39
- Sentensi, Alimshonea mtoto wake rinda, inamaanisha Alishona rinda kwa ajili ya mtoto wake. Chagua jibu lenye maana…Question 40