CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 36
Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Mti mdogo ___meanguka.
From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viambishi Ngeli
36. Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Mti mdogo ___meanguka.
- Au
- Bm
- Cmi
- Dwa
Answer
A. u
Mti ni wa ngeli ya U-I (umoja), kwa hiyo kitenzi huchukua kiambishi u-: mti umeanguka.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua usemi wa taarifa wa: Mwalimu aliwauliza wanafunzi, "Je, mmemaliza kazi zenu?"Question 37
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha idadi ya kawaida. Utachagua sentensi ipi?Question 38
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 39
- Sentensi, Alimshonea mtoto wake rinda, inamaanisha Alishona rinda kwa ajili ya mtoto wake. Chagua jibu lenye maana…Question 40
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tamathali ya ndimi (idiom).Question 41
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: ghali, nadra.Question 42