naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 35

Ukanusho wa sentensi, Wanafunzi wataenda maktaba ni:

From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji

35. Ukanusho wa sentensi, Wanafunzi wataenda maktaba ni:

  1. AWanafunzi hawataenda maktaba.
  2. BWanafunzi hawakuenda maktaba.
  3. CWanafunzi hawangeenda maktaba.
  4. DWanafunzi hawajaenda maktaba.

Answer

A. Wanafunzi hawataenda maktaba.

Wakati ujao (-ta-) hukanushwa kwa ha- na -ta-: hawataenda.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test