naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 37

Chagua usemi wa taarifa wa: Mwalimu aliwauliza wanafunzi, "Je, mmemaliza kazi zenu?"

From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usemi Halisi na wa Taarifa

37. Chagua usemi wa taarifa wa: Mwalimu aliwauliza wanafunzi, "Je, mmemaliza kazi zenu?"

  1. AMwalimu aliwauliza wanafunzi kwamba je, mmemaliza kazi zenu?
  2. BMwalimu aliwauliza wanafunzi kama walikuwa wamemaliza kazi zao.
  3. CMwalimu aliwauliza wanafunzi je, kama wamemaliza kazi zao?
  4. DMwalimu aliwauliza wanafunzi kama wangekuwa wamemaliza kazi zao.

Answer

B. Mwalimu aliwauliza wanafunzi kama walikuwa wamemaliza kazi zao.

Katika usemi wa taarifa: "je" na alama za kunukuu huondolewa, "kama" hutumika, "m-" na "zenu" huwa "wa-" na "zao", na "mmemaliza" huwa "walikuwa wamemaliza".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test