naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 40

Sentensi, Alimshonea mtoto wake rinda, inamaanisha Alishona rinda kwa ajili ya mtoto wake. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi hiyo.

From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maana za Sentensi

40. Sentensi, Alimshonea mtoto wake rinda, inamaanisha Alishona rinda kwa ajili ya mtoto wake. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi hiyo.

  1. AAlishona rinda akiwa na mtoto wake.
  2. BAlishona rinda kwa kutumia mtoto wake.
  3. CAlishona rinda karibu na mtoto wake.
  4. DAlishona rinda baada ya mtoto wake.

Answer

B. Alishona rinda kwa kutumia mtoto wake.

Kiambishi cha kutendea -e- (shon-e-a) kinaweza kuonyesha "kwa ajili ya" au "kwa kutumia", kwa hiyo maana nyingine ni kwamba alishona kwa kumtumia mtoto wake.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test