CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 33
Nomino, ndizi iko katika ngeli ya I-ZI. Nomino ziwa iko katika ngeli gani?
From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
33. Nomino, ndizi iko katika ngeli ya I-ZI. Nomino ziwa iko katika ngeli gani?
- AU-YA
- BU-I
- CI-ZI
- DLI-YA
Answer
D. LI-YA
Ziwa – maziwa: ziwa limejaa, maziwa yamejaa. Ni ngeli ya LI-YA.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano. dogo — kubwa refu — ___Question 34
- Ukanusho wa sentensi, Wanafunzi wataenda maktaba ni:Question 35
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Mti mdogo ___meanguka.Question 36
- Chagua usemi wa taarifa wa: Mwalimu aliwauliza wanafunzi, "Je, mmemaliza kazi zenu?"Question 37
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha idadi ya kawaida. Utachagua sentensi ipi?Question 38
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 39