CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 37
Ni sentensi gani iliyo katika hali ya kukanusha?
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanusho
37. Ni sentensi gani iliyo katika hali ya kukanusha?
- AWatoto wanacheza bustanini.
- BMama hajala chakula chake.
- CKaka atakuja kesho.
- DMbwa alifukuza paka.
Answer
B. Mama hajala chakula chake.
"Hajala" ni kanushi la "amekula".
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Neno yupo katika sentensi: Mgeni yupo nyumbani, ni kitenzi kishirikishi. Chagua sentensi nyingine yenye kitenzi…Question 38
- Nomino, kijiko iko katika ngeli ya KI-VI. Nomino, ukuta iko katika ngeli gani?Question 39
- Chagua neno sahihi kukamilisha methali ifuatayo. Aliye juu mgoje ……………………..Question 40
- Ukanusho wa sentensi, Amelala mapema sana ni:Question 41
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Kitanda ___metengenezwa vizuri.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Asha alisema kwamba angefika shuleni mapema.Question 43