CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 42
Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Kitanda ___metengenezwa vizuri.
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viambishi Ngeli
42. Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Kitanda ___metengenezwa vizuri.
- Aki
- Bvi
- Ccha
- Dya
Answer
A. ki
Kitanda ni KI-VI umoja: kimetengenezwa.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua usemi halisi wa: Asha alisema kwamba angefika shuleni mapema.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Mwalimu alimwandikia mwanafunzi barua, inamaanisha mwalimu aliandika barua kwa ajili ya mwanafunzi. Chagua…Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: jali, shali.Question 48