CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 47
Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Tamathali za Usemi
47. Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.
- AYeye ni simba vitani.
- BAlilia kama mtoto mchanga.
- CAlishinda mashindano hayo.
- DUkimwona, mwambie nimefika.
Answer
B. Alilia kama mtoto mchanga.
Tashbiha hulinganisha kwa kutumia "kama".
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: jali, shali.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 49
- Mwenzako anatumia mbinu chafu kufaulu mitihani. Chagua methali utakayotumia kumwonya.Question 50
- Kulingana na kifungu, ni ipi faida mojawapo ya maisha ya kisasa?Question 1
- Kwa mujibu wa kifungu, ni nini kilichokuwa nguzo kuu za maisha ya kijamii hapo zamani?Question 2
- Chagua jibu linaloonyesha jinsi maadili yameporomoka kulingana na aya ya tatu.Question 3