naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 50

Mwenzako anatumia mbinu chafu kufaulu mitihani. Chagua methali utakayotumia kumwonya.

From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali

50. Mwenzako anatumia mbinu chafu kufaulu mitihani. Chagua methali utakayotumia kumwonya.

  1. AHaba na haba hujaza kibaba.
  2. BDawa ya moto ni moto.
  3. CMcheza kwao hutunzwa.
  4. DKuiba si kula.

Answer

D. Kuiba si kula.

Kupata kitu kwa njia ya wizi (udanganyifu) hakuleti manufaa ya kweli.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test