CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 48
Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: jali, shali.
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
48. Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: jali, shali.
- Athamani, mchezo
- Bkutunza, bahati mbaya
- Ckujua, kukosa
- Dkukubali, kukataa
Answer
B. kutunza, bahati mbaya
Jali ni kutunza au kuhudumia.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 49
- Mwenzako anatumia mbinu chafu kufaulu mitihani. Chagua methali utakayotumia kumwonya.Question 50
- Kulingana na kifungu, ni ipi faida mojawapo ya maisha ya kisasa?Question 1
- Kwa mujibu wa kifungu, ni nini kilichokuwa nguzo kuu za maisha ya kijamii hapo zamani?Question 2
- Chagua jibu linaloonyesha jinsi maadili yameporomoka kulingana na aya ya tatu.Question 3
- Bainisha madhara ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii kulingana na aya ya nne.Question 4