CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 45
Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Uakifishaji
45. Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.
- AJamani, amefika.
- BJamani. Amefika.
- CJamani! Amefika.
- DJamani: amefika.
Answer
C. Jamani! Amefika.
"Jamani" ni kihisishi; hufuatwa na alama ya hisi (!).
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Sentensi, Mwalimu alimwandikia mwanafunzi barua, inamaanisha mwalimu aliandika barua kwa ajili ya mwanafunzi. Chagua…Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: jali, shali.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 49
- Mwenzako anatumia mbinu chafu kufaulu mitihani. Chagua methali utakayotumia kumwonya.Question 50
- Kulingana na kifungu, ni ipi faida mojawapo ya maisha ya kisasa?Question 1