CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 41
Ukanusho wa sentensi, Amelala mapema sana ni:
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanusho
41. Ukanusho wa sentensi, Amelala mapema sana ni:
- AHatulali mapema sana.
- BHalala mapema sana.
- CHajalala mapema sana.
- DHangelala mapema sana.
Answer
C. Hajalala mapema sana.
-me- hukanushwa kwa -ja-: hajalala.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Kitanda ___metengenezwa vizuri.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Asha alisema kwamba angefika shuleni mapema.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Mwalimu alimwandikia mwanafunzi barua, inamaanisha mwalimu aliandika barua kwa ajili ya mwanafunzi. Chagua…Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47