naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 36

Kutoka swali la 36 hadi la 50 chagua jibu sahihi. 36. Neno, ujinga katika sentensi, Ujinga ulileta hasara kubwa, ni nomino dhahania. Chagua jibu linaloonyesha…

From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Nomino

Kutoka swali la 36 hadi la 50 chagua jibu sahihi.
36. Neno, ujinga katika sentensi, Ujinga ulileta hasara kubwa, ni nomino dhahania. Chagua jibu linaloonyesha aina za nomino zilizopigiwa mstari katika sentensi ifuatayo:
Kamati ya wazazi iliandaa mkutano muhimu.

  1. Amakundi, dhahania
  2. Bmakundi, kawaida
  3. Cpekee, wingi
  4. Dwingi, pekee

Answer

A. makundi, dhahania

Kamati ni nomino ya makundi; mkutano ni nomino dhahania (tukio lisiloshikika). B pia hukubaliwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test