CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 38
Neno yupo katika sentensi: Mgeni yupo nyumbani, ni kitenzi kishirikishi. Chagua sentensi nyingine yenye kitenzi kishirikishi.
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Vitenzi
38. Neno yupo katika sentensi: Mgeni yupo nyumbani, ni kitenzi kishirikishi. Chagua sentensi nyingine yenye kitenzi kishirikishi.
- AChakula kimepikwa.
- BAlikuwa mwanafunzi hodari.
- CAmeandika barua.
- DWatasoma kitabu.
Answer
B. Alikuwa mwanafunzi hodari.
"Alikuwa" (kuwa) kinamhusisha yeye na sifa ya kuwa mwanafunzi hodari — kitenzi kishirikishi. Vingine ni vitenzi vya kutenda.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Nomino, kijiko iko katika ngeli ya KI-VI. Nomino, ukuta iko katika ngeli gani?Question 39
- Chagua neno sahihi kukamilisha methali ifuatayo. Aliye juu mgoje ……………………..Question 40
- Ukanusho wa sentensi, Amelala mapema sana ni:Question 41
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Kitanda ___metengenezwa vizuri.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Asha alisema kwamba angefika shuleni mapema.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 44