CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 39
Nomino, kijiko iko katika ngeli ya KI-VI. Nomino, ukuta iko katika ngeli gani?
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
39. Nomino, kijiko iko katika ngeli ya KI-VI. Nomino, ukuta iko katika ngeli gani?
- AU-YA
- BU-I
- CU-ZI
- DI-I
Answer
C. U-ZI
Ukuta – kuta: ngeli ya U-ZI.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno sahihi kukamilisha methali ifuatayo. Aliye juu mgoje ……………………..Question 40
- Ukanusho wa sentensi, Amelala mapema sana ni:Question 41
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Kitanda ___metengenezwa vizuri.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Asha alisema kwamba angefika shuleni mapema.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45