naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 2

Ni kweli kusema kuwa;

From Test 14 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo

Ni kweli kusema kuwa;

  1. AWanafunzi wote walijuwa kutumia kamusi
  2. BKamusi zilitumika na wanafunzi shuleni
  3. CWanafunzi hawakujua matumizi ya kamusi
  4. DWanafunzi wachache walijua kutumia kamusi

Answer

C. Wanafunzi hawakujua matumizi ya kamusi

Katika mazungumzo, Njoroge hajui kamusi ni nini, na Ali anasema amesikia watu wakiizungumzia lakini hajui jinsi inavyotumika -- hii inaonyesha wanafunzi kwa jumla hawakujua matumizi ya kamusi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test