CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 8
Eleza maana ya methali: Mtaka cha mvunguni sharti ainame.
From Test 14 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
Eleza maana ya methali: Mtaka cha mvunguni sharti ainame.
- ALazima tufanye bidii ili tufaulu
- BTukisoma tutapata kazi
- CUkivaa mapambo utakua mrembo
- DLazima tuiname mvunguni
Answer
A. Lazima tufanye bidii ili tufaulu
Methali hii inamaanisha kuwa lazima mtu afanye bidii ili afanikiwe -- hakuna kinachopatikana bila juhudi.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Msichana aliyetajwa kwenye makala haya alikuwa na tabia gani?Question 9
- Hospitali ya Matokeo iko kaunti gani?Question 10
- Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Mazingira safi ni muhimu sana kwa afya yetu. Tunapaswa kutunza mazingira…Question 11
- Tunapaswa kuweka taka wapi?Question 12
- Kwa nini mapipa ya taka yanapaswa kufunikwa?Question 13
- Miti husaidia kutunza mazingira kwa kutupa nini?Question 14