CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 4
Chagua madhara ya intaneti;
From Test 14 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo
Chagua madhara ya intaneti;
- AMakala potovu
- BHabari nzuri
- CHutumiwa na wote
- DHupatikana popote
Answer
A. Makala potovu
Ali anasema intaneti "inaweza kuletea habari potovu na isiyo sahihi" -- hivyo "Makala potovu" ni madhara ya intaneti.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Kamusi ina manufaa gani kwa mwanafunzi?Question 5
- Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Hapo zamani, palikuwa na msichana mmoja aliyekuwa ameumbwa akaumbika.…Question 6
- Jina lingine la mvulana ni ghulamu. Je, jina lingine la msichana ni?Question 7
- Eleza maana ya methali: Mtaka cha mvunguni sharti ainame.Question 8
- Msichana aliyetajwa kwenye makala haya alikuwa na tabia gani?Question 9
- Hospitali ya Matokeo iko kaunti gani?Question 10