CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 5
Kamusi ina manufaa gani kwa mwanafunzi?
From Test 14 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo
Kamusi ina manufaa gani kwa mwanafunzi?
- AHuwa rasilimali
- BHukuza lugha
- CHujenga uhusiano
- DHuweza kujitegemea
Answer
B. Hukuza lugha
Mwalimu anasema kamusi "inatusaidia kijenga msingi mzuri wa lugha yetu" -- yaani hukuza lugha.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Hapo zamani, palikuwa na msichana mmoja aliyekuwa ameumbwa akaumbika.…Question 6
- Jina lingine la mvulana ni ghulamu. Je, jina lingine la msichana ni?Question 7
- Eleza maana ya methali: Mtaka cha mvunguni sharti ainame.Question 8
- Msichana aliyetajwa kwenye makala haya alikuwa na tabia gani?Question 9
- Hospitali ya Matokeo iko kaunti gani?Question 10
- Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Mazingira safi ni muhimu sana kwa afya yetu. Tunapaswa kutunza mazingira…Question 11