CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 9
Sasa naomba unisomee kifungu hiki kwa sauti.
From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · 20 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Ngo’mbe jike hutupatia maziwa. Tunayatumia maziwa kupikia chai na pia kuyanywa. Jibini, ambacho ni chakula kitamu kwetu, hutengenezwa kutokana na maziwa yayo hayo. Mbali na nyama, ngozi na maziwa, ng’ombe pia huuzwa. Fedha zinazotokana na mauzo hayo huweza kutumika kutimiza mahitaji mbalimbali. Fahali nao huenda wakatumika kulima mashambani. Isitoshe, tunaipata samadi kutoka kwa ng’ombe. Samadi huweza kutumiwa kama mbolea.
Sasa naomba unisomee kifungu hiki kwa sauti.
Answer
Ng’ombe ni mnyama ambaye anafugwa na binadamu. Mnyama huyu ana manufaa tele kwetu. Kwanza kabisa, huchinjwa ili tupate nyama. Ngozi yake hutumiwa kutengeneza bidhaa kama vile viatu na kanda zinazofungwa viunoni. Ngo’mbe jike hutupatia maziwa. Tunayatumia maziwa kupikia chai na pia kuyanywa. Jibini, ambacho ni chakula kitamu kwetu, hutengenezwa kutokana na maziwa yayo hayo. Mbali na nyama, ngozi na maziwa, ng’ombe pia huuzwa. Fedha zinazotokana na mauzo hayo huweza kutumika kutimiza mahitaji mbalimbali. Fahali nao huenda wakatumika kulima mashambani. Isitoshe, tunaipata samadi kutoka kwa…
Soma kwa ufasaha; tamka vizuri maneno kama huchinjwa, zinazofungwa, jibini, zinazotokana, fahali na samadi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Je, mzazi au mlezi wako anafanya shughuli gani ili kujipatia mapato?Question 1
- Hebu nieleze, mapato anayopata yanamfaa vipi?Question 2
- Ukimaliza masomo ungetaka kufanya shughuli gani maishani ili kujipatia mapato? Nieleze sababu za kuchagua shughuli hiyo.Question 3
- Umeshinda mbio za riadha shuleni mwenu. Umepewa kuku kama zawadi. Utafanya nini ili upate manufaa kutokana na zawadi…Question 4
- Kifungu nilichokusomea kinamhusu msichana anayeitwa nani?Question 5
- Zolea ni msichana mtiifu. Taja mifano miwili ya watu anaowatii Zolea katika kifungu.Question 6